Posts

Image
It's the truth that God is Good all the time.
Image
                       Britonyjonas Without the cross, man could have no union with the Father. On it depends our every hope. From it shines the light of the Saviour’s love; and when at the foot of the cross the sinner looks up to the One who died to save him, he may rejoice with fulness of joy; for his sins are pardoned. Kneeling in faith at the cross, he has reached the highest place to which man can attain.7The Acts of the Apostles, 209, 210.  - SD 222.4 J. J. #Tony B.
Image
A father is someone who can take the place of all others, but whose place no one else can take!!! Britonyjonas@gmail.com
Image
                     Britony Jonas KIPIMO CHA UPENDO UTAJUAJE KUWA UNA UPENDO? JIBU NI  MARKO 12:28-31. Upendo hudhihirishwa kupitia mahusiano ya aina mbili tu: 1. Kumpendeza Mungu kwa: 1.Moyo wote; 2. Roho yote; 3. Akili yote; na 4. Nguvu zote. Upendo kwa Mungu hudhihirishwa na KUJITOA KWAKE, (Total Surrender), bila kubakiza kitu. Wengi  wetu huonyesha kumpenda kwa kutoa baadhi ya vitu tu lakini sio vyote. Kutoa mwili wote ili uwe makao  ya Roho Mtakatifu,  limekuwa jaribu gumu kwa wengi wetu. Utekelezaji wa kauli ya Warumi 12:1,2, tumeshindwa wengi na tumetekwa na mwendo wa dunia, kimwonekano na kivipaumbele. Hivyo Zaka na sadaka hutumiwa nasi kama kumkopa Mungu ili turudishwe baadaye, kisha milango ya kupata tena kujifunga na kujikuta tunaishi kama wadeni,  wasio na mibaraka. 2. Kumpenda Jirani/ mwenzako kama nafsi yako. Jirani wa kwanza hutakiwa kuwa ni mwanafamilia, mzazi au mtoto, kwa muj...
Image
                    Britonyjonas The best feeling in the world is knowing your presence and absence both mean something to someone. J. J. @Tony B
Image
                    Britonyjonas MUNGU NDIYE MWEMA. JE, YESU NI MWEMA? Leo nitajibu HOJA ya salam ya Mungu Ndiye Mwema. Waumini wa dini ya Kiislam katika Mihadhara mbalimbali ya kidni wamekuwa na tabia ya kutumia aya 18-19 iliyopo katika Luka Sura ya 18, inayo sema Mungu Ndiye Mwema. Waislam wanadai kuwa, katika aya hii, Yesu amekana kuwa yeye si "MWEMA" na kuwa Mungu Pekee ni Mwema, hivyobasi, kukana kwa Yesu kuwa yeye si Mwema kunapinga Madai ya Wakristo kuwa Yesu ni Mungu. Kwa hivyo utaona kuwa wahadhiri hao wa Dini ya Uislamu hufundisha jamii kwa kutumia Qurani na Biblia na kusema kuwa eti Yesu amekana kuwa yeye si MWEMA. Fundisho hili  la "MUNGU PEKEE NDIYE MWEMA" wanalieneza kwa kupitia Mitandao mbalimbali kama ya  Radio, Vijarida, Mihadhara, vitabu na Kanda (cassettes) za Video na Audio. Na hivyo kuwafanya baadhi ya Wakristo kuacha Imani yao na kuingia katika Dini ya Uislamu. Na baadhi ya Wakristo wengine ingaw...
Image
Mahali Fulani hivi at Mountmeru university - Arusha katika jointwoship ya Tucasa zone . Wito kwa Jehovah. Warumi:7.7 Tusemeje, basi? Torati ni dhambi? Hasha! Walakini singalitambua dhambi ila kwa sheria; kwa kuwa singalijua kutamani, kama torati isingalisema, Usitamani. Warumi:7.8 Lakini dhambi ilipata nafasi kwa ile amri, ikafanya ndani yangu kila namna ya kutamani. Kwa maana dhambi bila sheria imekufa. Warumi:7.9 Nami nalikuwa hai hapo kwanza bila sheria; ila ilipokuja ile amri, dhambi ilihuika, nami nikafa. Warumi:7.10 Nikaona ile amri iletayo uzima ya kuwa kwangu mimi ilileta mauti. Warumi:7.11 Kwa maana dhambi, kwa kupata nafasi kwa ile amri, ilinidanganya, na kwa hiyo ikaniua. Warumi:7.12 Basi torati ni takatifu, na ile amri ni takatifu, na ya haki, na njema. Warumi:7.13 Basi je! Ile iliyo njema ilikuwa mauti kwangu mimi? Hasha! Bali dhambi, ili ionekane kuwa ni dhambi hasa, ilifanya mauti ndani yangu kwa njia ya ile njema, kusudi kwa ile amri dhambi izidi kuwa m...