There is nothing greater in this world than being loving parents. So take the first step today by getting married. Think different, do different!
J. J. Tony B
Get link
Facebook
X
Pinterest
Email
Other Apps
-
Britonyjonas
The best feeling in the world is knowing your presence and absence both mean something to someone.
J. J. @Tony B
Get link
Facebook
X
Pinterest
Email
Other Apps
Comments
Popular posts from this blog
-
Britonyjonas MUNGU NDIYE MWEMA. JE, YESU NI MWEMA? Leo nitajibu HOJA ya salam ya Mungu Ndiye Mwema. Waumini wa dini ya Kiislam katika Mihadhara mbalimbali ya kidni wamekuwa na tabia ya kutumia aya 18-19 iliyopo katika Luka Sura ya 18, inayo sema Mungu Ndiye Mwema. Waislam wanadai kuwa, katika aya hii, Yesu amekana kuwa yeye si "MWEMA" na kuwa Mungu Pekee ni Mwema, hivyobasi, kukana kwa Yesu kuwa yeye si Mwema kunapinga Madai ya Wakristo kuwa Yesu ni Mungu. Kwa hivyo utaona kuwa wahadhiri hao wa Dini ya Uislamu hufundisha jamii kwa kutumia Qurani na Biblia na kusema kuwa eti Yesu amekana kuwa yeye si MWEMA. Fundisho hili la "MUNGU PEKEE NDIYE MWEMA" wanalieneza kwa kupitia Mitandao mbalimbali kama ya Radio, Vijarida, Mihadhara, vitabu na Kanda (cassettes) za Video na Audio. Na hivyo kuwafanya baadhi ya Wakristo kuacha Imani yao na kuingia katika Dini ya Uislamu. Na baadhi ya Wakristo wengine ingaw...
Kwa akili ya mwanadam huwezi kuamini kwa mambo yote haya ambayo Mungu pekee ndiye anayeweza kutupatia. Pamoja na madhaifu mengi na makubwa ambayo huwa yanapelekea kumtenda Mungu lakini anatupa nafasi za kuishi. Yote haya hatuna la kujivunia zaidi ya kuitetea neema ya pekee ya yesu kristo. @J. J. #Tony B.
Comments
Post a Comment