Kwa akili ya mwanadam huwezi kuamini kwa mambo yote haya ambayo Mungu pekee ndiye anayeweza kutupatia. Pamoja na madhaifu mengi na makubwa ambayo huwa yanapelekea kumtenda Mungu lakini anatupa nafasi za kuishi. Yote haya hatuna la kujivunia zaidi ya kuitetea neema ya pekee ya yesu kristo.
@J. J. #Tony B.
@J. J. #Tony B.
Comments
Post a Comment