Wimbo huu huwa unanibariki sana hata pale mambo yanapokuwa magumu Munguvhusimama ndipo napata nafasi ya kusifu zaidi jina lake maana anajibu kwa wakati.
3 - Mungu Atukuzwe.
1
Mungu atukuzwe, kwa mambo makuu,
Upendo wake ulitupa Yesu,
Aliyejitoa maisha yake,
Tuwe nao uzima wa milele.
CHORUS:
Msifu, msifu, dunia sikia,
Msifu, msifu watu wafurahi,
Na uje kwa Baba, kwa Yesu Mwana,
Ukamtukuze kwa mambo yote.
2
Wokovu kamili, zawadi kwetu,
Ahadi ya Mungu kwa ulimwengu,
Wanaomwamini na kuungama,
Mara moja wale husamehewa.
3
Alitufundisha mambo makuu,
Alihakikisha wokovu wetu,
Lakini zaidi ajabu kubwa,
Yesu atakuja na tutamwona.
3 - Mungu Atukuzwe.
1
Mungu atukuzwe, kwa mambo makuu,
Upendo wake ulitupa Yesu,
Aliyejitoa maisha yake,
Tuwe nao uzima wa milele.
CHORUS:
Msifu, msifu, dunia sikia,
Msifu, msifu watu wafurahi,
Na uje kwa Baba, kwa Yesu Mwana,
Ukamtukuze kwa mambo yote.
2
Wokovu kamili, zawadi kwetu,
Ahadi ya Mungu kwa ulimwengu,
Wanaomwamini na kuungama,
Mara moja wale husamehewa.
3
Alitufundisha mambo makuu,
Alihakikisha wokovu wetu,
Lakini zaidi ajabu kubwa,
Yesu atakuja na tutamwona.
Comments
Post a Comment