Posts

Image
Mahali Fulani hivi at Mountmeru university - Arusha katika jointwoship ya Tucasa zone . Wito kwa Jehovah. Warumi:7.7 Tusemeje, basi? Torati ni dhambi? Hasha! Walakini singalitambua dhambi ila kwa sheria; kwa kuwa singalijua kutamani, kama torati isingalisema, Usitamani. Warumi:7.8 Lakini dhambi ilipata nafasi kwa ile amri, ikafanya ndani yangu kila namna ya kutamani. Kwa maana dhambi bila sheria imekufa. Warumi:7.9 Nami nalikuwa hai hapo kwanza bila sheria; ila ilipokuja ile amri, dhambi ilihuika, nami nikafa. Warumi:7.10 Nikaona ile amri iletayo uzima ya kuwa kwangu mimi ilileta mauti. Warumi:7.11 Kwa maana dhambi, kwa kupata nafasi kwa ile amri, ilinidanganya, na kwa hiyo ikaniua. Warumi:7.12 Basi torati ni takatifu, na ile amri ni takatifu, na ya haki, na njema. Warumi:7.13 Basi je! Ile iliyo njema ilikuwa mauti kwangu mimi? Hasha! Bali dhambi, ili ionekane kuwa ni dhambi hasa, ilifanya mauti ndani yangu kwa njia ya ile njema, kusudi kwa ile amri dhambi izidi kuwa m...
Image
I can’t change the direction of the wind, but I can adjust my sails to always reach my destination. J. J britonyjonas@gmail.com.
Image
I don ’t have time to hate people,who hate me.because, I’m too busy in loving people who love me. Live longer than Satan needs my lovely sister. J. J britonyjonas@gmail.com
Image
Please don’t get confused between my personality & my attitude My personality is who I am & my attitude depends on who you are!” ###### somewhere else at Dodoma City accualy its fact.  Don't mind if it's so cute it. Britony.......today.  Yesterday......father... @J. J. #Tony B.
Image
Great minds discuss ideas; average minds discuss events; small minds discuss people. Its not what I'm doing well but God bless what i discus. To be loved it's not simple as what we think.  Be humble Jesus Loves us. @J. J. #Tony B
Image
If father is happy then God is happy and if father is angry the God also angry so try to happy your father. @J. J #Tony B
Image
Kwa akili ya mwanadam huwezi kuamini kwa mambo yote haya ambayo Mungu pekee ndiye anayeweza kutupatia.  Pamoja na madhaifu mengi na makubwa ambayo huwa yanapelekea kumtenda Mungu lakini anatupa nafasi za kuishi.  Yote haya hatuna la kujivunia zaidi ya kuitetea neema ya pekee ya yesu kristo. @J.  J. #Tony B.